
Hi guys. Mi naitwa pheny a.k.a phenytheehairdresser. Niko located Umoja na mi hufanya hairstyles poa poa sana. Ukitaka nimake your hair fiti, nireach your desired designs just call me on 0790686302 to book services zangu. Mi hufanya styles zote , na kwanza hapo kwa locs mi hukua mnoma sanađź¤. Mi ha fanya pia facials, kupaka gel, na beauty zingine unaeza inquire on phone call. Mi pia hupeana advices fiti sana on how to take care of your hair. You can check all my work that I do post frequently on Tiktok @phenytheehairdresser. Karibuni sanađź’•



0
0
0