Hi guys, najua online writing inakaa complicated. Pia hakuna kazi sai. Kuna TEXTING FOR CASH, platforms kama Cloud Workers, Texting Factory and Chat From Home. Sijaiva sana ju nimeingia juzi, but naeza wapea basics