
Hi guys. Niko na jiko fly sana hapa inaitwa induction cooker. Itafit perfectly kwa office, ama home yako, ama kama wewe ni chef, and whatever you need to cook itakufanyia fast na efficiently. Kama hii hapa imefika kwa client inaitwa Elegant ni 22k brand new.

0
0
0