Hi guys, Niko na swali, nilifungua shop nauza nguo na bado nazipush online, online nauza kushinda hiyo shop, I was planning kufunga hiyo shop ni re strategize coz I feel na waste time hapo and pesa ya kulipa rent. How would you advise before ni close it . I.e in a week nauza nguo moja ama mbili kwa shop, online nauza more than 5 weekly
0
0
0