Hi guys, So had this sales job yenye walinitoa from another stable job wakinipromise doo mob, wanted niaze biz, nimefanya 4 months wanaanza kufanya revision ya contract yangu eti ikue commission pekee. Na sio story na target, nimehit hizo zote. So mimi nataka kujitoa, hebu mnipee advice
0
0
0