Hi guyz oflate nmekuwa nikiuza mayai za kienyeji afta evry two wks ni hustle poa na pia nmeishikakanisha na sabuni,jikna mat making naweza na iko poa juu atlst napunguza mahitaji ya mine