
Hi. Kenya yetu kuna watu wa haina mbili ..wakwanza n wa kukukenga na wapili n wakupomoa. Nlianza struggling yangu kwa makampun after form 4 nkawa majuakali pia bt nkawa siku mingi nkuenda job mnabaguliwa wengine mnaambiwa njoo kesho mkirudi kesho bado knaenda vile tu ...Hadi nkakufaa roho na makapuni. Nkaamwa kutafta pesa nifanyie biashara, nkausa nguo adi nkanunua machine C.P.U na TFT nkaamwa kutafta ka rental kabarabara nifanyie biashara....sasa hivi siamini Mungu n mkuu now have my own Cyber with 7 Full Computers, malimali plus more than 10 cylinder za Gas..... So anything you do have hope coz tomorrow might be you n pray hard ask your God why not you milango iliyofungwa inaweza funguka anytime...Amen
0
0
0