Hi mesh community ,mimi naitwa Agnes maluki na #hustle yagu ni kuuza #gas ambayo niliaza back 2016
Hakuna kitu Tamu Kama kia self employed .I really like what I do and enjoy my work. Biz mob zilifungwa hii time ya covid-19 lakini nawapa # advice moja tu especially kwa wasee wa service industry.kazi ni bidii Niliaza kutebea kwa mastate ni kimarketing my biz na ata mitaa imgn.
It's been challenging bt nashukuru mungu nilipata customer.
Need any advice? Tuchapiane kwa comment wasee
0
0
0