Hi mesh members,kwangu niko na swali naomba nijibiwe,kuna siku nilipingiwa simu na mwadada ,akanishow yeye ufanya mesh,afu akanixhow nitume details zangu,ID no,date of birth.so nikashidwa kwa date za kuzaliwa niza nn,na id no niyanini,wakanixho wataka kupanga watu kulinga namiaka yao,swali nyinyi mlipingiwa??????bt sikupeana chochote,nliwaabia wanipe datika kumi wanical ,na awa kunical tena.ama nimacon lady.Swali..........
0
0
0