Hi Mesh, mi naitwa Oliver, mazee hi covid 19 imetukatia hewa joo. Sio kufunga mapema, Sio kununua sanitizer na baragoa...... Mesh kweli mnatujali kwa kufikiria kutupea boost. Hio Thao tatu itatusaidia kuongeza biashara. Tupigeni jeki tugrow pamoja.
0
0
0