
Hi mesh mimi nikikam up na name ya bizna yangu hizi kitu ya kwanza nilihave kutake time kuundestand ni bizna gani nataka kustart,alafu nikahave kushare my friend wenye wamekuwa successful kwa bizna vile walikam up na idea, then nikaangalia my compotiters vile wamebrand bizna zao, then nikam up na name yenye iko positive na attractive and simple
0
0
0