Hi, mesh naitwa Agnes maluki# na hustle kwa gas.
Changamoto ninasopata kwa kwa biz yagu gas# nowdays pro gas imepanda Sana kwa refill but kununua complete ni cheaper then, coustomer wakati anarudi kurefill wanakataa Sana hii bei ya refill, azin faida yake ni 5bob kwa wholesale kwa retail ni 160 na kunakulipa store so inakua na changamoto mingi bt msee ni kujikaza njoo, najaribu coz biz ikona hasara na faida kwa ifo wasee lazima changamoto sikue kwa biz.
Any Swari ask kwa comment plz
0
0
0