Hi mesh nmekua kwa mjengo industry kuna venye kuna dooh but most times kuna venye utaingia work for around 2 months then upate uko inje around tuseme tu izo 2 months so unapata umetumia savings ulikua umesave. Any ideas ya hustle neza anza ya part time with about 10,000 kuna ynye nafikiria about kuuza jezi na hoodies but sina connection ya kupata stock ya kuanza na pia still sijui if the capital is enough.would appreciate tips and anything it might be of help from you guy coz sina experience about business
0
0
0