
Hi meshers... Acheni niwapee short story... Sai Mimi Niko na game hub...na turn out ya wasee especially gamers uko low Sana .. In that case niliamua kuongeza biz ya kuuza bread apo nje na sweets... Na hii season nini ingine unaeza ni advise niongezeee apo... #Tujengane...
0
0
0