Hi Meshers. Hope mko poa. Mimi Niko Mombasa. Natafta hustle yoyote ndo atleast nipate Doo za kujijenga. Dream yangu hukua entrepreneurship. But now without the net(capital) I can't get fish. Na btw nimesomea Civil engineering but sasa jobs zinataka connections. Kama Kuna advice mnijenge walai
0
0
0