Hi meshers hope u'r all doing well👊 Times are hard manze, making #Capital imekuwa ni ngumu 4most of us,reason? Huwa tunagundua realities ya hii lyf later in life. Tunapenda kurelax, hatutaki kujituma, we feel we still av tym! Reality ni u'av to learn as early as yesterday kumake doo, time hakuna; though u'r not late hata leo😇. Mimi ni m2 wa mjengo, kujifunza ufundi ndyo lengo ye2 ndo uimprove skills na mapato pia. Kwa wasee wa mjei kama mimi mnaelewa vile ufundi hulipa kuliko being helper, so kujifunza ufundi ndyo huwa target kwa wasee hawajafika hiyo level. So kujichallenge should b a must💪 Any hustle u do meshers jaribu ujifunze that thing yenye itaincrease ur level of earning. #capital #mprove skill to earn more #fom ni kujijenga💪 Wewe hustle yako ni gan na unaimprove aje mapato yako