
Hi MESHers. It's good to be part of this community. Mimi ni supplier wa nyama mostly pork. Niko na transport yangu so in case huna transport nakuletea kwa butchery ama restaurant yako. Ukidai nyama kuja tuongee. Pia nataka kufungua butchery yangu so msee ako na tips ziko welcome. Thank you.
0
0
0