
Hi meshers .leo nimekua nikiangalia the most played games hapa kenya nikacheki hizi apa ndio the most played games in kenya 1.FIFA 2.Dota 2 3.Fortnite 4.League of legends. 5.Tekken Naweza taka tuchapiane nikati ya izi games in gani most played na yenye haiko pia tujue ni gani. Tupatane apo kwa comments.
0
0
0