Hi Meshers, nafanya biz ya kuuza mtumba clothes. I tell you it's such a lucrative hidden treasure. Siri ni kutengeneza profits kidogo kidogo ndio upate huge customer base.