
Hi Meshers. Naitwa Kennedy. Mi ni labourer kwa one of these Chinese firms constructing our roads. Specifically it's called Sinohydro Bureau 15, na project imekuwa Ngong'-Kiserian-Isinya (D523) na Kajiado -Imaroro(D524). Izo projects zishakamilika na work imeshuka vinoma coz saai ni ile kidogo kidogo ya routine maintenance. Actually naomba kama kuna msee ako na leads na ongoing projects kama MauMau roads ashare hiyo info nami kindly,thanks.
0
0
0