
Hi MESHers, naitwa Vicky. I think the best business ideas for Sally ni anaweza anza kuuza drinks, e.g soft drinks kama soda, juice(diluted one), njugu na tukeki pia zinaweza.....but challenges zitakam maybe time ya kuzibeba, but trust you me, utapata faida mob sana kwa izo ideas.
0
0
0