Hi meshers, nilimaliza chuo juzi na nasaka place ya kuenda attachment. Nilifanya diploma in hospitality management,nibs technical college. Any help please.