
Hi MESHERS! There are lots of opportunities pale zenye ni cheap and fast-moving. Kwa mfano; Shelly can decide to sell Sweets pamoja na njugu. The both move very fast. And zinaleta relatively 80% profit.
Hapa kwa sweets, SHELLY anaweza akachagua specific type of sweets ndio atrack progress vizuri. Kwa mfano; anaweza kuuza KSL TROPICAL SWEETS (MINTS). Akuwe akinunia pack ya 500g Yenye huuzwa @ KSH200 NAIVAS SUPA. Hii Huwa na 100 Sweets. Then akuwe akiuza 3sweets @ Ksh. 10. It means atauza 33bunches Ksh each so atamake Ksh. 330. Imagine akiuza 5packs in a bad day? So atatengeneza KSH 650 In a bad day. Pia anaweza akaongeza POP SWEETS(ZILE ZA KAMTI) Hizi uleta 100% profit. So imagine pop sweets auze packs kama 2? Atakuwa ametengeneza profiti poa. Akiongeza njugu nazo, Mamaa atakuwa ametengeneza Ksh2000 profit a day.
Challenges hapa SI mingi viile, shida itakuwa KANJO. Unajua pale disposal ya hizo karatasi itakuwa ngumu. So KANJO wanaweza leta pain sana. Watamkula Doo kiasi ndio afanye biz bila issue.
