
Hi meshers, wengi wetu hutaka kuanza biz juu tunataka kujisimamia na kua na ile financial freedom. Sio mbaya but kitu most youths hawajui about biz ni, any biznez lazma ujitume,lazma utake risks,lazma Stoke kwa comfort zone yako,itabidi umecut off some people like relatives,friends na wakopaji ndio uzidi nayo. Sio rahisi ukianzia but trusting the process ukizidi na bidii plus maombi, utamek it. Kuna mob about biz yenye yafaa ulearn ukizidi nayo. Mayut tusiogope kuanzisha biz but again ni tricky sana kuchukua loan kuanzisha biz yenye hauna idea kamili venye itaflow. Tuchanuane kila time. Nko khayega na biz yangu ni kuuza mayai kwa small depot,makaa,oyster mushroom na day old chicks. Dogo dogo tu adi tufike



0
0
0