Hi ni prince ivish nafanya mambo na incubator n nimekua na challenge since natowa mayai busia n fare imepanda mara mbili from 150 to 300 so plus mzingo imekua ngumu sana hata imebidi ni pandishe bei ya vifaranga na pia ni noma
0