
Hi..recently nilianza biz ya kuuza onions and tomatoes packed kwa 1kg. Haijakua mbaya so far, atlist napata ka kitu yenye naongezea nayo stock. So nilianza kuendea mali nakumart highridge but trabsport from kayole iko juu sana. Any advice or ideas venye naeza imarisha biashara yangu with the best products?? Nafanya delivery door to door.
0
0
0