
Hi Samson, For you to scale biz yako, unafaa kwanza kueka strategies za kuensure uko na customers. Clients ndo backbone ya any successful biz msee hurun. So unafaa kueka strategies za kukeep your loyal customers na pia zile za kumake sure atleast unagain new customers in a day. Hapa utaezapiga your sales kibao na pia not forgetting ku-up your customer service experience. Customers hufeel poa wakiserviwa fity. So weka strategies za kufanya advertisements na pia zile za kuensure customer retention. Atleast plan kucollect feedback from customers wako wa kila siku ndo pia wakusaidie kucorrect place hawafeel poa. All the best bro.
0
0
0