Hi Team Mesh...asanteni sana kwa kutupa nafasi hii ya kujiendelesha kama wafanya biashara.Mimi na fanya hawking ya Mayai na wateja wangu wananijua kama 'Moto Mayai'...ningetaka tu hii pesa ili iweze kunisaidia kuongezea stock ya mayai...sai kreti ya mayai nanua kwa shilingi 320/= ...usaidizi yoyote ntashukuru.God bless.
0
0
0