Hi watu wa mesh naskia kuna form mpya imetoka ati mtu akitoa comment na kutoa mambo yake hapa kwa mesh alfu ukipata vote nyingi na comment nyingi unatuza 50,100 na kuendelea. Ni kweli ama ni uwongo