
HIGH BILLS: Sahi kurun Kinyozi una require many times of equipments zenye zina consume too much energy, sahi bills za stima ziko very high kiplani. Hapa kuna tips zenye zinaweza kuokolea to lower energy bills this 2024. Tokens za 1k last year ilikua 62.72 sai ni 38.32
- Ukiget smart switches na sockets zenye zitahelp kulower bills.
- Ni vipoa kutumia LED lights ndo ziko na lower consuption.
- Mwenye ataku designia shop yako ni poa aweke room ikue well lit ikue na lighting poa ndo ata environment ikue more comfortable.
Kama kuna other tips zenye Mwenye kinyozi anaweza consider ebu tujenge hapa kwa comment section.👇

0
0
0