Hii team ya world cup qualifiers imelegea ama niaje wadau 1st half tulichezewa game noma sanaπππ Kuna hopes kweli za kucheza world cup?