
"Hii biz iko na profit poa sana, but on paper"..
Ushajipata in similar biz situation? Uki chapa mahesabu, gross profit inakuwa poa sana, ukiweka budget ya estimation ya expenses, bado Net profit iko fiti, but sasa ukimaliza hio biz, hakuna chedax. Unajipata na ile capital with little extra cash.
Where could such biz be going wrong?
0
0
0