Hii biz nilianza na mayai tray moja na, nikapanda hadi tray tatu after profit ya hio tray ya kwanza, kidogo kidogo nikaongezea mboga na nyanya kitunguu,, sai nimelearn another idea from Meshers,,,, looking forward to expanding it to a grocery
0