
Hii biz ya barbershop iko fiti Unaeza jipanga na doo kiasi like 20K, kusave saa hii ni 50bob per head, assume umenyoa watu 15 Daily hiyo ni 750/= ukitoa 50bob ya Stima Lunch ya 100/= na 100/= unasave kubuy vitu ka spirit, Neckrole, Earđź‘‚buds, Olive Oil na Staffs zingine ndogo ndogo unabaki na 500/= yako daily in 30 days ni Income ya 15,000/=
0
0
0