Hii biz yetu sio lazima uanze ikiwa kubwa , ni biz hata unaweza ichapia kwa mtandao kwanza then as you grow unatafuta mahali ya kuweka biz. Hii ni biz unaweza manage tuu Bora ukue unajua kufanya biz