Hii christmas nimejipanga tu kutafta pesa zangu bado sherehe si lazima heri nijipange nisiteseke next year nisave doo nitafte kabiz naeza fanya next year na kumantain peace