
Hii Familia ni bigi na apart from advices kuna venye bado tunaeza saidiana bado ,niaje tukitengeneza chama ya kutoleana pesa Heartedly Daily kwa kila meshers mmoja tu ,tukuwe tunatoa chwani tu ,tukitoa chwani leo inapewa mwenye inamfaa , kesho yake pia mwingine and so on !
0
0
0