
Hii festive season imenikumbusha how most of the creatives i.e actors, dancers and singers discovered our talents pale church. Mtu akiniangalia hivi haezi sema nliact kama Judas Iscariot buana kumsulibisha Mwokozi. My pal Ndunda tulikua tunaimba choral verse atleast alijua talent yake from hapo yeye ni upcoming singer and rapper imebaki afike studio. @Claudia Mwende alikua ana'act kama mamake Jesus, yeye acting ilijipa anafanya acting za setbooks huko Mombasa. The good thing we learnt hizo times ni kumanage stage frights, acquired skills in dancing and also acting. It was a golden time aisee. Sijui kama nyinyi wasee mnarelate? How did you discover your talent?

0
0
0