
Hii festive season kuna gigs mob sana, kaa umeapply job ya creative na client ananyamaza, relax! Inaweza kua ata bado wanapitia portfolios ama hawajaplan budget yao. Give it 3-5 days alafu utume polite follow-up, kitu simple na straight. Kuna vile mnaweza kuwa na time difference, ama project yao bado iko kwa planning phase. Customize your pitch uone kaa imekuwa too generic ama haijakuwa tailored kwa project yao then try again.

0
0
0