Hii form ya 52weeks savings challenge imeanza kunilemea.🙆🏿 Biz haija shika as I expected aki.
Mkona savings plan ama mnakaa ki-taliban?
#ShujaazBiz