
π€ hii gov't iko_focused sana kwa digital space na agri_prenuer......π€ meshers mko kwa iyo sector mnaeza tuchanua rada ni gani......ππΈ
π‘Kwa gov't policies na speeches za president unaeza notice wako quite determined to make this happen.........
π‘I can agree to disagree that it's true digital space na agri_prenuer inaeza saindia kwa job creation na employment of many youths wenye wako jobless saa hii.....but we need support and favourable policies to achieve this kwa iyo space.
π€meshers mko kwa hizi sector already mnaeza share some light on how best to go about it and be successful now that serikali imeangalia iyo side sana ......?

0
0
0