
Hii ikikufanyikia😫acha hata tusiseme. So guys how do we solve this problem juu hii inaeza kua mlango iko kwa biz yako! Ama wewe kama welder umepewa job ya kutengeza malango, how do we avoid such? 1.First thing ni material ;Wadau tutafule zile material tunajua itakua durable hata kama utatoboka more . 2.Pia design inamatter sana.Hio mlango kutoka ndani inafaa kua reinforcement na steel bars kiasi ndio at least ipeane challange kwa mse anajaribu kuvunja na pia kutoa vitu kutoka ndani This is my view... anyways what are your views guys ?!


0
0
0