Hii inaitwa pop-up sprinkler ya irrigation hii inawekwa wKa uwanja na inajificha kwa mchanga tym inairigate ndyo inapopup very beautiful nature green land ndyo inaleta the beauties