Hii kazi huwa tricky sana. Siku moja unapika mayai na samosa zinaisha zote kabla hata saa tano asubuhi. Siku ingine unapika hizo hizo, lakini unauza tatu pekee—unalazimika kubaki nazo hadi kesho . Kuna siku tulitengeneza samosa 200 za ndengu tukitegemea demand itakuwa kama ya siku iliyopita. Kufika jioni, tulikuwa tumerudi na 190. Tukatoa ile ndengu ya ndani tukakaanga tukala supper, na zile ngozi tukakula tu kama chapo. Btw grogon wanaunda alafu wana kodesha ksh. 200 per day kwa mkulima mdogo.
0
0
0