Hii kiatu ni size 38, ni mali safi ya mtush, nimekaa nayo almost mwaka inaingia bila kupata mteja wake. Let's share our ups and downs during our hustle, kwanza sahii venye life imekuwa hard