Hii life inataka tu faith, juu ukisema ni logic ilishaenda kitambo. Kuna siku unafungua mpesa na balance ni 47 bob. Unafunga app. Unaifungua tena after two minutes kuona kama kuna pesa ilikuwa inaload.