Hii maisha ni ya ajabu. Unajitreat lunch moja ya maana, unarudi kwa nyumba ukiishi kama unatafuta bailout ya IMF 😂😂."