Hii mambo ya finance bill inanikula kichwa kama mwanabiashara wa Mtush, I heard taxes on imported goods itaongezwa, sijui wadau mko na yepi kusema on this issue, I'm worried bei ya Mtush inaeza ongeza