Hii mashimo ya Kamukunji yenye huwa naona Tik Tok kwani ziko wapi? Nimeingia huko ndani bei ni zingine . Ama ni marketing strategies? Kama ni marketing then it's so wrong guys .😥😥