
hii mostly inafanyika facebook ama whatsapp. whereby unatumiwa message unaambiwa kuna offer ya 2gb. ukijibu unaambiwa inorder to activate your offer share referral code unatumiwa kwa namba yako. ukishare hiyo code immediately your account inakuwa hacked na wanatumia kuomba marafiki zako pesa. so kaa rada wenzangu
0
0
0